Kut. 7:10 SUV

10 Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao, wakafanya vivyo kama BWANA alivyowaambia; Haruni akaibwaga fimbo yake chini mbele ya Farao, mbele ya watumishi wake, ikawa nyoka.

Kusoma sura kamili Kut. 7

Mtazamo Kut. 7:10 katika mazingira