Kut. 7:17 SUV

17 BWANA asema, Katika jambo hili utanijua ya kuwa mimi ndimi BWANA; tazama, nitayapiga haya maji yaliyo mtoni kwa fimbo hii niliyo nayo mkononi mwangu, nayo yatageuzwa kuwa damu.

Kusoma sura kamili Kut. 7

Mtazamo Kut. 7:17 katika mazingira