Kut. 8:1 SUV

1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia.

Kusoma sura kamili Kut. 8

Mtazamo Kut. 8:1 katika mazingira