13 BWANA akafanya sawasawa na neno la Musa; na hao vyura wakafa kutoka katika zile nyumba, na katika viwanja, na katika mashamba.
Kusoma sura kamili Kut. 8
Mtazamo Kut. 8:13 katika mazingira