Kut. 8:17 SUV

17 Nao wakafanya; Haruni akaunyosha mkono wake na fimbo yake, na kuyapiga mavumbi ya nchi, nayo yakawa chawa juu ya wanadamu na juu ya wanyama; mavumbi yote ya nchi yakawa ni chawa katika nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 8

Mtazamo Kut. 8:17 katika mazingira