Kut. 8:26 SUV

26 Musa akasema, Haitupasi kufanya hivyo; kwa kuwa tutamchinjia sadaka BWANA, Mungu wetu, na hayo machukizo ya Wamisri; je! Tutachinja sadaka ya hayo machukizo ya Wamisri mbele ya macho yao, wasitupige kwa mawe?

Kusoma sura kamili Kut. 8

Mtazamo Kut. 8:26 katika mazingira