31 BWANA akafanya kama neno la Musa, akawaondoa wale mainzi wabaya kwake Farao, na kwa watumishi wake, na watu wake; hakusalia hata mmoja.
Kusoma sura kamili Kut. 8
Mtazamo Kut. 8:31 katika mazingira