Kut. 8:8 SUV

8 Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni na kuwaambia, Mwombeni BWANA, ili awaondoe vyura hawa kwangu mimi na kwa watu wangu; nami nitawapa watu ruhusa waende zao, ili wamtolee BWANA dhabihu.

Kusoma sura kamili Kut. 8

Mtazamo Kut. 8:8 katika mazingira