Kut. 9:1 SUV

1 Ndipo BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, yuasema, Wape ruhusa watu wangu ili waende wanitumikie.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:1 katika mazingira