Kut. 9:15 SUV

15 Kwa kuwa wakati huu ningekwisha kuunyosha mkono wangu, na kukupiga wewe na watu wako, kwa tauni, nawe ungekatiliwa mbali na kuondolewa katika nchi;

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:15 katika mazingira