Kut. 9:25 SUV

25 Na ile mvua ya mawe ikapiga kila kilichokuwako mashambani, binadamu na mnyama, katika nchi yote ya Misri; hiyo mvua ya mawe ikapiga kila mmea wa mashambani, na kuuvunja kila mti wa mashamba.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:25 katika mazingira