Kut. 9:29 SUV

29 Musa akamwambia, Mara nitakapotoka mjini nitamwinulia BWANA mikono yangu; na hizo ngurumo zitakoma, wala haitanyesha mvua ya mawe tena; ili upate kujua ya kuwa dunia hii ni ya BWANA.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:29 katika mazingira