Mal. 2:10 SUV

10 Je! Sisi sote hatuna Baba mmoja? Mungu aliyetuumba siye mmoja tu? Basi, mbona kila mmoja wetu anamtenda ndugu yake mambo ya hiana, tukilinajisi agano la baba zetu?

Kusoma sura kamili Mal. 2

Mtazamo Mal. 2:10 katika mazingira