Mal. 2:11 SUV

11 Yuda ametenda kwa hiana, na chukizo limetendeka katika Israeli, na katika Yerusalemu; maana Yuda ameunajisi utakatifu wa BWANA aupendao, naye amemwoa binti ya mungu mgeni.

Kusoma sura kamili Mal. 2

Mtazamo Mal. 2:11 katika mazingira