Mal. 2:16 SUV

16 Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana.

Kusoma sura kamili Mal. 2

Mtazamo Mal. 2:16 katika mazingira