Mal. 2:17 SUV

17 Mmemchokesha BWANA kwa maneno yenu. Lakini ninyi mwasema, Tumemchokesha kwa maneno gani? Kwa kuwa mwasema, Kila atendaye mabaya ni mwema machoni pa BWANA, naye huwafurahia watu hao, au, Mungu mwenye kuhukumu yuko wapi?

Kusoma sura kamili Mal. 2

Mtazamo Mal. 2:17 katika mazingira