Mal. 3:1 SUV

1 Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijilia hekalu lake ghafula; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Mal. 3

Mtazamo Mal. 3:1 katika mazingira