Mal. 3:16 SUV

16 Ndipo wale waliomcha BWANA waliposemezana wao kwa wao. Naye BWANA akasikiliza, akasikia; na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha BWANA, na kulitafakari jina lake.

Kusoma sura kamili Mal. 3

Mtazamo Mal. 3:16 katika mazingira