1 Mainzi mafu huvundisha marhamu ya mwuza marashi;Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima.
Kusoma sura kamili Mhu. 10
Mtazamo Mhu. 10:1 katika mazingira