5 Kama vile wewe usipojua njia ya upepo ni ipi, wala jinsi mifupa ikuavyo tumboni mwake mja mzito; kadhalika huijui kazi ya Mungu, afanyaye mambo yote.
Kusoma sura kamili Mhu. 11
Mtazamo Mhu. 11:5 katika mazingira