6 Asubuhi panda mbegu zako,Wala jioni usiuzuie mkono wako.Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.
Kusoma sura kamili Mhu. 11
Mtazamo Mhu. 11:6 katika mazingira