Mhu. 2:18 SUV

18 Nami nikaichukia kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua; maana sina budi kumwachia yeye atakayenifuata.

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:18 katika mazingira