Mhu. 2:8 SUV

8 tena nikajikusanyia fedha na dhahabu, na tunu za kifalme na za kutoka katika majimbo. Nikajipatia waimbaji, waume kwa wake, nao wale ambao wanadamu wanawatunuka, masuria wengi sana.

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:8 katika mazingira