Mhu. 2:7 SUV

7 Nami nikanunua watumwa na wajakazi, nikawa na wazalia nyumbani mwangu; tena nikawa na mali nyingi za ng’ombe na kondoo, kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu;

Kusoma sura kamili Mhu. 2

Mtazamo Mhu. 2:7 katika mazingira