14 Siku ya kufanikiwa ufurahi,Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.
Kusoma sura kamili Mhu. 7
Mtazamo Mhu. 7:14 katika mazingira