Mhu. 7:15 SUV

15 Mambo hayo yote nimeyaona mimi katika siku za ubatili wangu, yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.

Kusoma sura kamili Mhu. 7

Mtazamo Mhu. 7:15 katika mazingira