Mhu. 8:14 SUV

14 Kuna ubatili unaofanyika juu ya nchi, kwamba wako wenye haki nao wapatilizwa kama kwa kazi yao waovu; tena wako waovu, nao wapatilizwa kama kwa kazi yao wenye haki. Nami nikasema ya kuwa hayo nayo ni ubatili.

Kusoma sura kamili Mhu. 8

Mtazamo Mhu. 8:14 katika mazingira