Mhu. 9:10 SUV

10 Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.

Kusoma sura kamili Mhu. 9

Mtazamo Mhu. 9:10 katika mazingira