Mhu. 9:9 SUV

9 Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa chini ya jua; siku zote za ubatili wako, kwa maana huo ni sehemu yako ya maisha; na katika taabu zako ulizozitaabika chini ya jua.

Kusoma sura kamili Mhu. 9

Mtazamo Mhu. 9:9 katika mazingira