Nah. 1:2 SUV

2 BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira.

Kusoma sura kamili Nah. 1

Mtazamo Nah. 1:2 katika mazingira