Nah. 1:5 SUV

5 Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake.

Kusoma sura kamili Nah. 1

Mtazamo Nah. 1:5 katika mazingira