Nah. 1:6 SUV

6 Ni nani awezaye kusimama mbele za ghadhabu yake, naye ni nani awezaye kukaa katika ukali wa hasira yake? Hasira yake kali humwagwa kama moto, nayo majabali yapasuliwa na yeye.

Kusoma sura kamili Nah. 1

Mtazamo Nah. 1:6 katika mazingira