Neh. 12:31 SUV

31 Ndipo nikawapandisha wakuu wa Yuda juu ya ukuta, nikawaagiza mikutano mikubwa miwili ya hao walioshukuru, na kuandamana; mmoja uende kwa kuume ukutani kuliendea lango la jaa;

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:31 katika mazingira