Neh. 12:38 SUV

38 Na mkutano wa pili wao wenye kushukuru wakaenda kuwalaki, na mimi nikafuata nyuma yao, pamoja na nusu ya watu, ukutani juu ya mnara wa tanuu, mpaka ule ukuta mpana;

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:38 katika mazingira