Neh. 12:39 SUV

39 na juu ya lango la Efraimu, na kupita lango la kale, na lango la samaki, na mnara wa Hananeli, na mnara wa Hamea, mpaka lango la kondoo; nao wakasimama hapo langoni pa gereza.

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:39 katika mazingira