Neh. 12:42 SUV

42 na Maaseya, na Shemaya, na Eleazari, na Uzi, na Yehohanani, na Malkiya, na Elamu, na Ezeri. Waimbaji wakaimba kwa sauti kuu, wenye Yezrahia kuwa msimamizi wao.

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:42 katika mazingira