Neh. 12:43 SUV

43 Wakatoa dhabihu nyingi siku ile, wakafurahi; kwa kuwa Mungu amewafurahisha furaha kuu; na wanawake pia na watoto wakafurahi; hata ikasikiwa mbali sana furaha hiyo ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:43 katika mazingira