Neh. 12:47 SUV

47 Na Israeli wote, siku za Zerubabeli, na siku za Nehemia, walitoa sehemu za waimbaji na mabawabu, kama ilivyohusika kila siku; nao wakawatakasia Walawi; na Walawi wakawatakasia wana wa Haruni.

Kusoma sura kamili Neh. 12

Mtazamo Neh. 12:47 katika mazingira