Neh. 13:1 SUV

1 Siku hiyo walisoma katika kitabu cha Musa masikioni mwa watu; na ndani yake yalionekana maneno haya yameandikwa, ya kwamba Mwamoni na Mmoabi wasiingie katika kusanyiko la Mungu milele;

Kusoma sura kamili Neh. 13

Mtazamo Neh. 13:1 katika mazingira