Neh. 13:6 SUV

6 Lakini wakati huo wote mimi sikuwako huko Yerusalemu; maana katika mwaka wa thelathini na mbili wa Artashasta, mfalme wa Babeli, nalimrudia mfalme; na baada ya siku kadha wa kadha nikaomba ruhusa tena kwa mfalme.

Kusoma sura kamili Neh. 13

Mtazamo Neh. 13:6 katika mazingira