Neh. 13:7 SUV

7 Nami nikaja Yerusalemu, nikafahamu yale mabaya, ambayo Eliashibu ameyatenda kwa ajili ya Tobia, kwa kumtengenezea chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili Neh. 13

Mtazamo Neh. 13:7 katika mazingira