Neh. 2:15 SUV

15 Kisha nikapanda usiku kando ya kijito, nikautazama ukuta; kisha nikarudi nyuma, nikaingia kwa lango la bondeni, nikarejea hivyo.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:15 katika mazingira