Neh. 2:16 SUV

16 Wala mashehe hawakujua nilikokwenda, wala nilivyotenda; wala sijawaambia Wayahudi, wala makuhani, wala wakuu, wala mashehe, wala watu wengine waliokuwa wakiifanya kazi hiyo.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:16 katika mazingira