7 Tena nikamwambia mfalme, Mfalme akiona vema, na nipewe nyaraka kwa maliwali walio ng’ambo ya Mto, ili waniache kupita mpaka nifike Yuda;
Kusoma sura kamili Neh. 2
Mtazamo Neh. 2:7 katika mazingira