Neh. 2:6 SUV

6 Mfalme akaniuliza, (malkia naye ameketi karibu naye), Safari yako itakuwa ya siku ngapi? Nawe utarudi lini? Hivyo mfalme akaona vema kunipeleka; nami nikampa muda.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:6 katika mazingira