Neh. 2:5 SUV

5 Nikamwambia mfalme, Mfalme akiona vema, na ikiwa mimi, mtumishi wako, nimepata kibali machoni pako, tafadhali unipeleke mpaka Yuda, niuendee mji wa makaburi ya baba zangu, nipate kuujenga.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:5 katika mazingira