Neh. 2:4 SUV

4 Ndipo mfalme akaniambia, Una haja gani unayotaka kuniomba? Basi nikamwomba Mungu wa mbinguni.

Kusoma sura kamili Neh. 2

Mtazamo Neh. 2:4 katika mazingira