Neh. 3:13 SUV

13 Lango la bondeni wakalifanyiza Hanuni, nao wakaao Zanoa; wakalijenga, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake, na huo ukuta wa dhiraa elfu mpaka lango la jaa.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:13 katika mazingira