Neh. 3:14 SUV

14 Na lango la jaa akalifanyiza Malkiya, mwana wa Rekabu, akida wa mtaa wa Beth-hakeremu; akalijenga, akaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:14 katika mazingira