Neh. 3:20 SUV

20 Baada yake Baruki, mwana wa Zakai, akafanyiza kwa bidii sehemu nyingine, toka ugeukapo ukuta mpaka mlango wa nyumba ya Eliashibu, kuhani mkuu.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:20 katika mazingira